Thursday, 21 September 2017

UPDATES: KUKAMATWA KWA NDUGU ZITTO KABWE, KIONGOZI WA CHAMA, ACT WAZALENDO


Kiongozi wa Chama Ndugu Zitto Kabwe ameshafikishwa Dodoma akiwa chini ya uangalizi wa polisi na sasa yupo Central Police Dodoma.

Anatarajia kwenda kuhojiwa na Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge muda mfupi ujao.

Wenu,
Ado Shaibu, Katibu Mwenezi Taifa
ACT Wazalendo
21/9/2017
5:18 Asubuhi
Dodoma, Tanzania

No comments:

Post a Comment