Mwana
HipHop na star Jay Z ametoa video yenye
majibu mengi kuhusu maisha na mahusiano yake na Beyonce kwenye mtandao wa TIDA.
Kwenye
video hiyo ya Jay Z ameongelea
mahusiano yake na Beyonce nakusema
“Mahusiano yetu hayakujengwa kwenye misingi ya asilimia 100 ya ukweli bali
juhudi zaidi zilihitajika ili kubaki pamoja kwa muda wote kutokana na matatizo
yaliyoibuka ndani ya nyumba yetu”
Jay Z
amesema kudumisha na kuzipitia changamoto kwenye ndoa yake ilikuwa ngumu kuliko
maisha aliyoishi mitaani
Msanii Jay Z na mwanadada Beyonce
kwa sasa wana watoto watatu huku wakiwa
katika mahusiano kwa muda mrefu ambao ni ,Blue,Rumi na Sir Carter.
No comments:
Post a Comment