Wednesday, 12 July 2017

Tazama Mende wa Maajabu

Mende hawa ni kati wa wadudu wenye nguvu nyingi zaidi duniani
Michoro hiyo imewavutia wengi mitandaoni na hata kusababisha kutangazwa kuuzwa kupitia Ebay

ende huyo alipata umaarufu mitandaoni wakai picha za michoro yake zilisambaa katika mtandoa wa Twitte
Mende huyu anayepatikana nchini Japan na mwalimu wake ni aina ya mende wanaopatikana barani Asia, wanaotajwa kuwa kwenye hatari ya kuangamia
mende huyo alipata umaarufu mitandaoni wakai picha za michoro yake zilisambaa katika mtandoa wa Twitter

Mende wa aina hii ni maarufu miongoni mwa watoto chini Japan

#BbcSwahili



No comments:

Post a Comment